R.I.P. Dr. Remmy Ongara

Jamani naomba mwenye taarifa sahihi za hali ya Dr. Remmy atujulishe.
Kuna taarifa za ujumbe mfupi wa simu zinadai kuwa amefariki.
:A S clock:
 
katika wimbo wake wa kifo kama vile alijitabiria kuwa atafia muhimbili, Mungu amlaze mahala pema peponi, yeye mbele nasi tu nyuma yake
 
Bwana ametoa,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!!
 
May His Soul Rest in Peace...lweli kifo hakina huruma natumaini kitakuwa kilimpa taarifa aage mkewe watoto zake na ndugu jamaa na marafiki kama alivyoimba...!
 
RIP Dr. Tangulia na utufikishie salamu kwa wapendwa wetu waliotutangulia. Tulikupenda sana lakini MUNGU amekupenda zaidi.
 
dah!!! ni MWANAMUZIKI pekee wa zamani ninayependa nyimbo zake zooote... namaanisha zoote tofauti na wengine n muziki mmoja mmoja.

RIP mwana Matimila
 
RIP Dr. Kuna ule wimbo wa kifo alioimba zamani miaka ya 1980 mwanzoni .......... dah
 
Mbele kwa mbele.... bonge ya truck.
Nasikia jamaa aliokoka
 
RIP Remmy Ongala.....utakumbukwa kwa mchango wako kwenye nyanja ya muziki nchini Tanzania
 
Daaaaaaaaaaa mungu alitoa,mungu ametwaaaa,roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…