R.I.P. Dr. Remmy Ongara


ndugu muacici, nina neno kidogo na ile comment ya kitabu cha ayubu. tafadhari zingatia kuwa kitabu cha ayubu si cha historia au mambo ya nyakati (matukio/chronicles).......... ni kitabu cha utenzi kinachokusudia kuibua asili, sifa na tabia ya Mungu.......... simulizi la shetani kama ulivyolinukuu liko katika prologe ya hicho kitabu (3-42:6). ........ na kibwagizo chake kiko kwenye epilogue yake (42:7 hadi mwisho)............ ila maudhui ya kitabu chenyewe yako sura za 3-42:6 na yameandikwa katika mtindo wa utenzi unawahusu ayubu na marafiki zake watatu (elifaaz, zofari na bildad) mwishonimwishoni anaibuka kijana mmoja mdogo lakini mwenye hekkima kubwa (elihu) kushinda hata ya ayubu na rafiki zake wote. anaongea mambo yanayokaribia kufanana na ya Mungu mwenyewe na hatimaye anasababisha ayubu akiri alipopotoka na kutubu.......... tafadhari soma taratibu na Mungu akusaidie kuelewa nasema nini na kama utapata tatizo, nitafurahi kukusaidia........... unaweza kutumia PM........... ubarikiwe..........

RIP Dr Remmy..............
 
mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, nazo zimejaa tabu na shida,
mwanga wa milele umuangazie eee Bwana, apumzike kwa amani, ameeeen,
 
Poleni wafiwa, mungu amlaze pema peponi kulingana na matendo yake hapa duniani
 
Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8 usiku mwimbaji mkongwe hapa nchini ambaye kwa sasa alikuwa kaokoka na kuimba nyimbo za kwaya, dr.remmy ongalla amefariki dunia. Kwa hiyo hatunaye kwa sasa. Kama una laptop weka song lake hapo ofini kwako uanze kuomboleza.

Waitu mwikalege, omukama ababele, obahe omugisha gwe.
 
hapa nakula vibao vyake taratibuuuu kama Dole, maisha, mwanza,fadhili ni Utumwa n.k
 
Goooosh...kweli dunia tunapita...R.I.P Dr! Ulikua roll model,tutakumiss!
 
Oooohhhh Maskini Ongalla, Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu amen

Bwn alitwaa na bwn ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 


Rest In Peace Remmy Ongala U will truely be missed.........
 

Baada ya kuokoka , aliwahi kushuhudia kwamba alikuwa anatumia mizimu kupata nyota na mara kadhaa alikuwa akinywa damu ya binadamu.
Hata hivyo, hajawahi kusema damu hiyo alikuwa anaipata wapi.
Tatizo la damu za siku hizi , ukute alikunywa yenye virusi....
Anyway, RIP Ongala, nyimbo zako nilikuwa nazipenda sana, kama vile Mola nalilia mtoto, Narudi Songea, Nakulilia Mola wangu nk.......
 
RIP Remmy, you will always live through your music
 

Tusihukumu, sote tuko safarini dr. Remmy Ongala pamoja na mapungufu yake yote yeye ndio kautangaza Muziki wa TZ kuliko mwanamuziki yeyote yule. Amefariki kutokana na matatizo ya figo yaliosababishwa na ugonjwa wa kisukari na sio kunywa damu za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…