R.I.P. Dr. Remmy Ongara

Mungu ampokee kijana wake.
Mungu awafariji wafiwa na Watanzania wote
Aaamin.
 
wahusika tafadhali hii habari hebu itafutieni mahala husika.
Hili ni jukwaa la siasa na dakta hakuwahi kuwa hata katibu tarafa...
So toa hii hapa.
Nikihakikisha kuwa ni kweli basi pole zangu nitaziandika nitakapoikuta habari hii, lakini si hapa

aliwahi imba nyimbo za siasa, na ccm wakasema sio raia wa tanzania
 
RIP kizuri ni kuwa alimrudia Muumba wake...je wewe uko tayari....






Enzi za Ujana wake

 
Inna lillah, wayna illayh rajiuun. Kila nafsi kwa mola itarejea
 
Binafsi pia nimezisikia na tunahangaika kuthibitisha; tusubiri tutapata uhakika tu.

Mkuu hata mimi nasubiri kwahamu hizi taarifa! MwanaVillage tafadhali naomba tuzibitishie hizi habari kama ni za kweli!
 

Dole, Fadhili ni utumwa, Amisa, Nalialia mwana,Penzi lawaua n.k
 
RIP Dr. Remmy Ongala. Nitakukumbuka daima maana muziki wako ulituchangamsha sana miaka ya 80 wengine tukiwa vijana na mpaka leo ninaposafiri lazima nipige nyimbo zako.

Wote tunakuja huko huko, tangulia mpiganaji.
 
Mkuu hata mimi nasubiri kwahamu hizi taarifa! MwanaVillage tafadhali naomba tuzibitishie hizi habari kama ni za kweli!

Mkuu labda bwana michuzi atakusaidia kwa hili....Ingia blog ya michuzi kuna taarifa zaidi au uende bongo celebrity..
 
Lo! Mungu wa mbinguni awatie nguvu
wanafamilia .na wanamuziki wote
wa nyimbo za injili RIP Ongala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…