R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

Pole kwa msiba mzito jamii nzima ya burudani ya vikatuni , mashabiki na wapenzi wa Tom and Jerry.
 
Tom na Jerry imetengenezwa kwenye era tofauti.Watu waliohusika kuiandaa ni wengi . Producers, wachoraji , directors wamekuwa wakuibadilika kutokana na era.Huyu mzee alihusika kwenye cartoon za Tom and Jeryy za mwaka 1961-62.Kumbuka Tom and Jerry zimeanza kutengenezwa 1940.Wakati huo walikuwepo kina William Hanna na Joseph Barbera kuanzia 1940-1958, Fredy quimby akiwa producer wao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…