R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

What about William Hanna & Joseph Barbera? Nilifikiri hawa ndiyo walikuwaga script witers na creators wa Tom & Jerry cartoons
 
Labda kwa kuwa Nime zijulia ukubwani hizo katuni ila sijaona cha mimi kucheka wala kunivutia zaidi naona tu mara huyu Jerry kampiga na tofali tom mara yule tom kamfunika na bakuli jerry kadondoka..... labda Ndiyo comedy yenyewe hiyo inayo wachekesha watoto.
 
What about William Hanna & Joseph Barbera? Nilifikiri hawa ndiyo walikuwaga script witers na creators wa Tom & Jerry cartoons
Hao ndio walianza kuzitengeneza,miaka ya 1940 hadi 1958 walipoondoka,ndio wakaja wengine.Cartoon zao ndio original Tom and Jerry
 
Katuni zina raha zake kama umenipatia code,mi na ndevu zangu lazima kudownload au kununua animation
Kumbe nawewe ni mtu wa katuni bebe [emoji2956]

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Tom huwa hajiongezi,mwili mkubwa ila kwenye mission zake anafeli
Napenda sana babe, yaani huwa nacheka sana mfano vituko vya Jerry anavyomfanyia mjomba jingalao Tom dah[emoji3][emoji3][emoji3]

Huwa unapenda pia?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Tom huwa hajiongezi,mwili mkubwa ila kwenye mission zake anafeli

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Tom jinga sana kuna siku alichomwa mkia na Jerry sababu ya kutojiongeza kwake, alipiga makelele huyoo😀
 
Wa kwanza ndo alizipatia sijui ndo nani kati yao,sasa hivi kuna hadi Mr.Bean tom and Jerry zinaboa sana
Ila Quimby mbona ndio kama alikuwa founder wa Tom & Jerry. Alizipatia sana akishirikiana na Hanna & Babera baada ya hawa jamaa kuondoka kwenye production Tom & Jerry was no more.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Frederick Clinton Quimby alikua producer amefariki 1965, taarifa hii ni kwa msaada wa google
Hata huyu Mzee hakuwa mbunifu wa hivyo vikaragosi/cartoons. Ila aliongoza (director) na kuandika/kutunga katika series zake za miaka ya sitini

'Tom and Jerry is an American animatedfranchise and series of comedy short films created in 1940 by William Hannaand Joseph Barbera. Best known for its 161 theatrical short films by Metro-Goldwyn-Mayer, the series centers on a friendship/rivalry (a love-hate relationship) between the title characters Tom, a cat, and Jerry, a mouse.
 
Ila Quimby mbona ndio kama alikuwa founder wa Tom & Jerry. Alizipatia sana akishirikiana na Hanna & Babera baada ya hawa jamaa kuondoka kwenye production Tom & Jerry was no more.
Na mimi najua creator wa tom&jerry ni Hanna na Barbera huku producer wao akiwa Quimby (zamani nikijua ni Zuimby kwa namna Q ilivyokuwa ikiandikwa. Kama sio hawa basi mchango wao ni mkubwa kuliko mtu yeyote kwenye hii cartoon.

Unakumbuka wakati inaanza yule Simba wa Metro Goldwyn Mayer alivyokuwa ananguruma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, niliona tribute ya huyo mzee Eugene, i concluded was the creator of those vikaragosi. Thanks for this valuable information, keep us updated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…