doublejeopardize
Member
- Jul 12, 2025
- 31
- 33
Kabisaa hata Mimi nimeliona hiloHuwezi kumkubali magu halafu ukamshabikia mama kuna kitu kwako hakiko sawa
Mama si aliteuliwa na Magu kwa sababu alikuwa anatosha?Huwezi kumkubali magu halafu ukamshabikia mama kuna kitu kwako hakiko sawa
Una tofauti gani na wanaokota makopo barabarani? Au Nenda katibiwe, unamwandikia marehemu ujumbe kupitia JF? JF inasomwa kuzimu?Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki ..
Inasemakana mzee wa kusini ambaye tayari alishatangulia mbele za haki ndo alimchagua kuwa mgombea .. kuna kipindi alituita malofa ila sio mbaya sana maana ni kweli..
Mama piga Kazi sana achana na presha za mda na hili litapita kura yangu unayo 2025 October
Mama na Magu ni kitu kimoja ndiye aliyemteua mgombea mwenza wakeHuwezi kumkubali magu halafu ukamshabikia mama kuna kitu kwako hakiko sawa
Unatia huruma kweli,hujui unachotaka...inahuzunisha kweliMama piga Kazi sana achana na presha za mda na hili litapita kura yangu unayo 2025 October
Shda siyo kumteua, aliyokuwa anayafanya magu na mama yako sawa?Mama na Magu ni kitu kimoja ndiye aliyemteua mgombea mwenza wake
Tatizo wewe ndo una matatizo mzeeUnatia huruma kweli,hujui unachotaka...inahuzunisha kweli
Tofauti ni ndogo mama amulets maelewano na matajiriShda siyo kumteua, aliyokuwa anayafanya magu na mama yako sawa?
AmeenApumzike kwa amani