R.I.P Joseph Pande, Naibu Mwendesha Mashtaka(DPP), ni kifo cha kawaida?

Big big bro wa kitaa kabisa ,so sad.
 
Wingi ni subjective, je nyingi zake zilikuwa nyingi?
Zaburi 90:10
[10]Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea mara.

Hazikuwa nyingi kwasababu hakufikisha miaka 70/80 ya Kibiblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…