figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mazishi yake ni lini waungwana!?
Mazishi yake yatafanyika jumatatu arusha. Arusha sipajui vizuri lakini sehemu ni kama inaitwa boma la wamasai(nyumbani kwao). bado walikua bado wanamsubili Baba yao anayeishi Tanga na baadhi ya NDUGU wanaoishi sehemu tofauti na kuendelea kupanga utaratibu wa mazishi. Inasikitisha sana, familia yao ina watoto 11 na yeye alikua mtoto wa 10 lakini ndo amekuwa wa kwanza kupoteza maisha.Mia