R.I.P Marco Simoncelli

R.I.P Marco Simoncelli

mwanapolo

Senior Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
193
Reaction score
56
MotoGP leo imetokea ajali mbaya sana kwenye mashindano yaliyofanyika Malaysia, ajali hiyo ikimhusisha Marco alipo poteza mwelekeo na kuingia kny njia ya Rossi ambapo aligongwa vibaya mpaka Helmet ikavuka! Amefariki dunia hospitalin alipokuwa anapata matibabu.
 
sio kwamba alifufa kabla ya gaddaf?wewe utakua umeona marudio lol...rip
 
Back
Top Bottom