R.I.P: Mustapha Ngosha of DDC Mlimani Park

R.I.P: Mustapha Ngosha of DDC Mlimani Park

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
DSC00284.JPG
Mwanamuziki mpiga Bass wa DDC Mlimani Park Orchestra, ambaye alijulikana kwa jina maarufu la Ngosha atazikwa kesho saa 10 Magomeni. Ngosha alijiunga na DDC Mlimani Park miaka ya mwanzoni ya 90, akiwa anajulikana kama Charles John Ngosha, baadae alibadili dini na Kuslim na kupewa jina la Mustafa.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Amana Hospital Ilala, na msiba utakuwa Magomeni katika maeneo ya kituo cha Bi Nyau, karibu na ukumbi wa DDC Magomeni.

Source: Wanamuziki wa Tanzania blog

 
RIP and thanks for good memories
 
RIP, mbona hawa wakuu wamuziki wanaondoka
 
Mungu amueke pema Peponi!!!!!!!, Poleni wafuasi wa "WANASIKINDE"
 
Back
Top Bottom