Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Nilikupenda sana na ulinirahisishia mambo mengi katika maisha yangu. Niliweza kufanya mipango yangu nikiwa popote bila kufika, kupitia wewe nilifanya miamala, nilipiga soga na ndugu, jamaa, marafiki na wote niwapendao... Nilipokosa chaji nilihisi nipo kizani, sikutaka nikukose hata dakika moja. Ila leo hii umeniacha...!?
Nilikupenda ila Kokoto kakupenda zaidi.
REST IN ETERNAL PEACE LAINI YANGU.
Nilikupenda ila Kokoto kakupenda zaidi.
REST IN ETERNAL PEACE LAINI YANGU.