Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Zimezimwa za wenye vitambulisho waliogoma kusajiliKwani laini zimezimwa kweli? Mbona mi napeta tu
Mkuu jana usiku nilikuw naongea... ghafla nikiwa kati kati ya mazungumzo nikasikia system (warning alert)... kuangalia kwenye screen ya simu nkaona maneno yanayosomeka "access error" halaf simu ikakatika hapo hapo. Ile nakuja kuchek line (SIM 1) inasoma "SIM access error"SK2016 said:Vipi imekufa kweli au Mungu kainusuru?
Mkuu ya kwangu toka jana ilisoma "SIM access error" japo kuna wengne naona pia wanapeta. Hii sijui imekaaje!Papaa Gx said:Kwani laini zimezimwa kweli? Mbona mi napeta tu
Aleyn said:Mkuu imezimwa kweli?
TV za kisogo maana ni uhujumu uchumi, zinaitia hasara TANESCO yetuMajuzi rambo leo simcard kumbuka la tv tushalivuka awam ijay,(?)nani atutabirie masisiem waje na lipi?