Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mambo vipi.
Nimepata mshituko mkubwa baada ya kusikia mzee wetu (babake kiba) ameiaga dunia. Nikiwa Kama binadam siwezi kujiskia vizuri ila hii imekuwa zaidi kwakuwa aliyefariki ni baba wa msanii ninaemkubali zaidi hapa nchini japo siwachukii wasanii wengine. Naombeni Pole pia SINA TIMU[emoji23][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app