Wewe ni MTU wa Mpira!Aaaaah! Mimi sijapata kumshuhudia katika kipindi cha uchezaji wake, ila nafahamu kidogo historia yake kacheza Tumbaku huyu, pamoja na magunia ya kilosa.
Atakumbukwa sana kwa mashuti yake makali.
Kacheza pia plsner ya ilala akiwa na kina Julio.
Poleni sana wazee wangu Charles Boniphace mkwasa pamoja na Jamhuri kiwelu julio.
Daah nimekaa nae nyumba moja pale Shubira Morogoro, Asante kwa taarifa.Aaaaah! Mimi sijapata kumshuhudia katika kipindi cha uchezaji wake, ila nafahamu kidogo historia yake kacheza Tumbaku huyu, pamoja na magunia ya kilosa.
Atakumbukwa sana kwa mashuti yake makali.
Kacheza pia plsner ya ilala akiwa na kina Julio.
Poleni sana wazee wangu Charles Boniphace mkwasa pamoja na Jamhuri kiwelu julio.
Dah! "Shade" zimezuia kitu cha kujifunza kwa kizazi cha soka cha Leo....Big up mkuu
Hizo 'shade' kiustaarabu zaid