PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Katika mahojiano kabla ya mechi ya LIVERPOOL VS BARCELONA, Vidali aliulizwa na waandishi wa habari "Je liverpool itaweza kupindua matokeo?" kwa mbwembwe na bashasha akajibu "kama liverpool wakipindua matokeo ya 3-0 nitawachangia testicle yangu ya upande wa kulia na nyingine nitawapa mashabiki wa Real madrid"
Mechi hiyo iliisha kwa matokeo ya 4-0, barcelona wakiwa na mfalme wa soka "Messi" pamoja na Magician "Coutinho" kushindwa kuamini macho yao ndani ya uwanja wa "Anfield"
Hivyo katika hali ya kibinadamu, Vidali akizitoa korodani zake mbili hawezi kuishi tena
R.I.P in Advance