PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Mimi nilijua ni bongo tuHawezi kufanya huo upuuzi, yale ni maneno ya shabiki tu
Aturo Vidal ni mchezaji wa Barcelona FC/mbeleko fc wala si shabiki, amka kumekucha[emoji4]Hawezi kufanya huo upuuzi, yale ni maneno ya shabiki tu
Kumekucha, I'm a liver fanAturo Vidal ni mchezaji wa Barcelona FC/mbeleko fc wala si shabiki, amka kumekucha[emoji4]
Hivi mtu hawezi kuishi bila korodani? Mbona da Mange hana???Katika mahojiano kabla ya mechi ya LIVERPOOL VS BARCELONA, Vidali aliulizwa na waandishi wa habari "Je liverpool itaweza kupindua matokeo?" kwa mbwembwe na bashasha akajibu "kama liverpool wakipindua matokeo ya 3-0 nitawachangia testicle yangu ya upande wa kulia na nyingine nitawapa mashabiki wa Real madrid"
Mechi hiyo iliisha kwa matokeo ya 4-0, barcelona wakiwa na mfalme wa soka "Messi" pamoja na Magician "Coutinho" kushindwa kuamini macho yao ndani ya uwanja wa "Anfield"
Hivyo katika hali ya kibinadamu, Vidali akizitoa korodani zake mbili hawezi kuishi tena
R.I.P in AdvanceView attachment 1091470
Sio kweliLaana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
Kumbe adi wanawake wanakua nazo ehHivi mtu hawezi kuishi bila korodani? Mbona da Mange hana???
Sio kweli