James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mkuu ni addictive tuu kama kitimoto kama hupendi usianze kutizama.eeh kwa kina dada nyie zina wafaa hizo.
ila mwanaume mzima ana angalia movie ya kihindi ni tatizo hilo
Ulikuwa unatizama movie gani?of coz mi siyo mzeee
lakin pia sio kijana wa mwaka 2000. ila nilikuwa siangalii kavsa hiyo kitu ya kihindi

naangalia zote za kihindi zinaongoza ......... bongomuvi sitaki kusoma hata majina yake ya kiingereza kama cha mag,,,,,,hivi mnawezaje kuangalia movies za kihindi?
RIP mwenda zake