GREAT INVESTOR Senior Member Joined Nov 13, 2018 Posts 128 Reaction score 297 Dec 11, 2022 #1 Mkali wa RNB R. Kelly kaachia album yake ya kwanza akiwa gerezani. Jina la album linakwenda kwa jina la I ADMIT IT, kwa lugha yetu ni NIMEKUBALI. Ndani ya album iyo jamaa kakubali kutoka kimapenzi na madenti wa umri wote , kwa maana ya minor/under 18 na watu wazima. Go listen good musics. Link iko chini hapa Attachments IMG_2682.png 198.2 KB · Views: 16 IMG_2683.png 251.2 KB · Views: 14
Mkali wa RNB R. Kelly kaachia album yake ya kwanza akiwa gerezani. Jina la album linakwenda kwa jina la I ADMIT IT, kwa lugha yetu ni NIMEKUBALI. Ndani ya album iyo jamaa kakubali kutoka kimapenzi na madenti wa umri wote , kwa maana ya minor/under 18 na watu wazima. Go listen good musics. Link iko chini hapa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Dec 11, 2022 #2 Huko jela kuna studio?
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Dec 11, 2022 #3 Speechless.
GREAT INVESTOR Senior Member Joined Nov 13, 2018 Posts 128 Reaction score 297 Dec 12, 2022 Thread starter #4 Dejane said: Huko jela kuna studio? Click to expand... Kwa wenzetu fresh, wana haki zao mpaka jela.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Dec 12, 2022 #5 Watu wanatumia matatizo yao kuendelea kupiga pesa. Kuna cha kujifunza
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Dec 12, 2022 #6 Itakuwa huko jela anakula Bata tu