R. Kelly anaweza akawa ana matatizo ya kingono!

Atanasa tu na atakula mvua ya miaka jela..
 
Kwa kweli jamaa mimi nadhani ana matatizo.

Kuna taarifa kuwa yeye na Aaliyah walifunga ndoa kabisa.

Sad,
Ngoma zake tu ndo zinanikoshaga. Hayo matatizo ya kibinadamu ingawa the same tuhuma mfululizo zitamgarimu.
 
It's the remix to ignition
Hot and fresh out the kitchen
Mama rolling that body
got every man in here wishing
Sipping on coke and rum
I'm like so what I'm drunk
It's the freaking weekend, baby
I'm about to have me some fun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo familia inatafuta pesa kutoka kwa the self-identified pied piper of R&B. Maana mbona binti kakunusha kushikiliwa? Na ana miaka 21!! Hakuna kesi hapo.
 

Nimeangalia nakuufurahia shukurani... nimeusikiliza kwa makini... bebi wako atakuwa anafurahia haswaaaa ukimuwekea.

Yumo kama kawa kwenye CD collection yangu... wengine sisi wa enzi za kale... Hiyo booty boooooty huyo ndicho kinamzengua eeee na wewe unapenda booooooooooty 🙂
 
Ukikutana na bikira original ni kero tupu na hakuna utamu wowote zaidi ya karaha!! Mi sizitaki kabisa...
Mkuu hata mimi sizitaki kuna mmoja alining'ata na kuniparua makucha hatari
 
Mi naipenda hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…