R. KELLY avunja ukimya

Freemasons wameamua wachukue umaarufu wake Baada ya kujaribu kuwasaliti


Wazungu Siku zote huwa wanaamini 'none is guilty until proven by the Court'
Lakin kwa Nguli Huyu kahukumiwa kwa tuhuma tu

Jana nilikuwa nasikiliza BBC wanasema Hata Kashfa Za Michael Jackson nazo zimeibuliwa kufuatia Makala tu ya Kwenye Gazeti na tayari Nchi kadhaa zimetangaza kutopiga Nyimbo zake

Freemasons kwa huku kwetu 'Kwa Kindande' Na kwa ' Biti Jongo' tunasema ukijitoa Kwenye Chama Cha Uchawi lazima wenzio wakuazimie kupotea
 
Unapokuwa member wa Freemason, wanakutumikisha hata kwa mambo yasiyofaa ili siku ukitaka kujitoa tu wakubane.

Mwaka 2016, Chris Brown alitangaza kuwa amechoka kumtumikia Shetani; hadi leo hajatoa mwendelezo wa kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana kiongozi. Ila kuna mabinti wawili waliowahi kuwa wapenzi wake wamesema tuhuma hizo si za kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama unalink au source ya hiyo habari ya breezy na akizungumzia kuhusu kuachana na huo ushetani naomba dondosha maana naskiaga
ila cjawah pata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nimuulize Kanye West. Ha ha ha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMESHAWAKUTA WATU KAMA MARTIN LAWRENCE, TYRESE, KANYE WEST, P.DD NA WENGINE KIBAO HAO JAMAA UKIINGIA KUTOKA NI NEEMA YA MUNGU TU. LAZIMA WAKUFILISI THEN WAKUFANYE MTU WA HOVYO KATIKA JAMII AU WAKUUE KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…