R.Kelly: Freemasons wakikasirika

Ungeweka hiyo connection ya tuhuma za r. Kelly na hao Freemason.otherwise tutakuona kama haji manara tu

Afu hivi ndo nyie mnaoamin hadi kesho kwamba kanumba aliuwawa na freemason????
 
Nimeichukua kama ilivyo kutoka BBC Swahili, sijapata muda wa kuhariri kiswahili chao;

R Kelly avunja ukimya

Mwanamuziki huyo akizungumza na mwandishi Gayle King, Kelly alisema kesi ile ya awali imetumika dhidi ya mashitaka haya mapya ili kuaminika kuwa ana makosa kweli

"Wanaangalia makosa ya nyuma na wanajaribu kuyaongeza katika madai ya sasa ili nionekane kuwa nnahusika, hicho ndio kinachoendelea" Kelly alisema .

"Lakini mambo hayo ya nyuma yanahusiana na vitendo vya ngono vya wasichana wadogo pia?" mwandishi alimuuliza.

"Sio kweli kabisa, hayana uhusiano wowote," Kelly alinyanyuka na kupinga kwa msisitizo na kuongeza kuwa hawawezi kuendelea kumhukumu kwa kesi ambayo alishinda na alikutwa hana hatia"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawachelewi kupigwa hapa...ha ha
Kupigwa ni wale wa mabango " Tunakuunga na Freemasons" ila huyu namfahamu sana.

Freemasonry ya ukweli ni ile unaenda Grand lodge kabisa kama pale posta unakaribishwa na form za kujiunga unazikuta ndani mule.

Maswali lazima uulizwe, Why do you want to join the brotherhood?

Watu wazito sana nchini wapo mule ndani na unavaa mavazi maalumu wakati wa mikusanyiko yao, Freemason wanaamini mno kwenye " Unadhifu na Umaridadi" kwenye mavazi na mapambo.

Wabongo wengi wanaona aibu kujiunga pale posta badala yake wanaenda Mombasa, Kampala na Kwingineko.

Kuna siku nitafungua Uzi kujuza nini nimejifunza kwenye hii jamii, A Society with secrets, Not A Secret Society As Many People Misconcept It.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mleta mada sikupingi kwa kuwa sijui much, ila nimeangalia 3 episodes za surviving R Kelly, kuna watu wamekuja mstari wa mbele wameelezea yaliyokuwa yanatokea.
Kuna wafanyakazi wake wa ndani kuna producer etc, okay kuna issues nyingi ila moja ambayo ilionyeshwa na uthibitisho ilikuwa ndoa ya R Kelly na late Aaliyah, walifoji papers ili ionekane ana 18 yrs ila alikuwa 15 yrs old
So freemason ndio waliomjengea Kelly idea ya kufoji vyeti ili baadae waje waitumie forgery issue against him or wanafit vipi kwenye issue kama hiyo, sababu ni kweli mchizi kafanya makosa
Ila left -right mchizi is talented nobody can take that away from him

renegade
 
Mhh anapigwa mtu sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah inasikitisha sana. Ukiona kwenye mahojiano unajua Kelly unamsikia anasema "they want to destroy me". Hivi huwa wanaingia makubaliano gani?? Hivi kwa nini huwa inakuwa vigumu kabisa kabisa kujitoa?? Yaani wanashindwa hata kukimbia nchi? Maana hao jamaa wakiandaa ushahidi wa kutunga inawezekana maana unaweza kukuta ni familia za hao hao ma freemason wanajitokeza kudai watoto wao walitekwa na vitoto vikaambia vikiri then atafungwa
 
Matapeli ni watu makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His two wives came in his defence lakini hakuna wa kuwasikiliza wazungu wakiamua yao wameamua. Eti wanasema amewa brainwash wake zake wamtetee hahaaa...jamaa kaisha...halafu cha ajabu hiyo surviving R Kelly Documentary nimesoma sehemu kuwa imerawaliwa na wazazi wa watoto na wake zake sasa hapa unajua kabisaa sasa hivi ni zamu ya RKelly kufilisiwa na kwenda mahakamani.

Utashangaa kesi yake inaenda fasta kuliko ya Harvey Weinstein and co

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
mbona jibu unalo anatapeli watu 2000$
 
"hakuna hata mtu mmoja duniani anayefurahia kusikia jina R.Kelly masikioni mwake"
Futa hapa,me nafurahia tu na nyimbo zake nasikiliza kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"If I could turn back the hand of time "
Dah bonge ya nyimbo sichoki kuisikiliza
.....
 
Kama kawaia ya watu maskini. Uisashakuwa tajiri. Wanakuhusisha na freemason.. sijui uchawi..
Hii mentality ya kimaskin sio nzuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mentality za kijamaa hizo mkuu.

Ujaa unasema "wengi wape", na wengi hwakosei daima.
Kwa hiyo kama wengi ni masikini, basi wote inabidi tuwe masikini.
Ole wako uwe tajiri, tutakuita firimasoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…