R.Kelly: Freemasons wakikasirika

[emoji23][emoji23] hivi watu bado wanaamini huu uchuro..
Eti jamii ni ya siri halafu kuna mbongo mmoja anasema anawajua nje ndani..
Hii ni akili au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wana control kila kitu" basi wao ndio wahusika wakuu wa changamoto zote hapa bongo
 
uko sahihi mkuu, yanayomkuta kelly ndo yaliyomkuta Michael Jackson.. ila jamaa huwa wako smart sana.. kiasi ambacho mvivu wa kutafiti mambo ataona ni blaa blaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mentality za kijamaa hizo mkuu.

Ujaa unasema "wengi wape", na wengi hwakosei daima.
Kwa hiyo kama wengi ni masikini, basi wote inabidi tuwe masikini.
Ole wako uwe tajiri, tutakuita firimasoni tu.
Mentality chafu sana hiyo. Ukiwa tajir ni kosa.. mabaya yote utazushiwa ww.
Yaan jamii za kijamaa zinataman ufilsike wapate cha kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…