iko wazi By Now Kwamba Kuna Group Zimeanzishwa kwa Nia ya kukigawa Chama,flag Bearers wanajulikana.
swali Linakuja, Ra Kama Mmoja Ya Viungo Muhimu Kwenye Siasa Za Kifisadi,yuko Upande Upi?
ra Yuko More Loyal To Whom Kati Ya Hawa Mafahari Wawili?
tuelimishane wana Jf..
MNAKAA MNATUNGA HABARI THEN MNAANZA KUWAGAWA WATU KWENYE Makundi ambayo mmeyaumba wenyewe,hakuna cha mkutano wa moro wala wa dar na hakuna cha kundi la agenda 21 wala agenda 26.Hizi ni propaganda zenu.Anataka kuwa upande wa JK
Let Me Tell You Fisadi Mtoto Rostam Kama King Meker Wa Tz Sasa Ana Tafuta Mbadala Wa Jk So Hawezi Kuwa Na Jk,bali Yuko Moro Agenda