Race against time

Race against time

Kuntakinte

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2007
Posts
701
Reaction score
34
Mkuu Mzee Mwanakijiji nashukuru sana kwa hii kitu maana nimecheka mpk basi naomba na wengine ambao hawajachungulia KLH News kule waone madaraka yalivyo matamu. Swali linakuja : Je kwa Mpango huu tutaweza kweli kuwatoa Mafisadi hasa tukizingatia wali wasiowalipa viongozi naa wenzetu wa chama cha upande wa pili.

Bonyezi ki ndebele hapo kwenye link:


http://link.brightcove.com/services/player/bcpid1137883380?bctid=1640107138
 
Hii kweli ni kali ya mwaka kwani Mugabe pamoja na ubabe wake kanifurahisha kwa jibu kuwa yeye anajisikia kuwa Rais wa Zimbabwe on the basis ambazo Brown anazitumia kuwa PM UK.
 
Mpaka Kieleweke.. as a matter of fact Mugabe hakusema Brown ni PM wa UK.. msikilize tena..
 
Nafikiri kwa mawazo yake pamoja na kwamba siwezi kuyasoma, anajiona jogoo la shamba!
 
Back
Top Bottom