Mkuu Mzee Mwanakijiji nashukuru sana kwa hii kitu maana nimecheka mpk basi naomba na wengine ambao hawajachungulia KLH News kule waone madaraka yalivyo matamu. Swali linakuja : Je kwa Mpango huu tutaweza kweli kuwatoa Mafisadi hasa tukizingatia wali wasiowalipa viongozi naa wenzetu wa chama cha upande wa pili.
Hii kweli ni kali ya mwaka kwani Mugabe pamoja na ubabe wake kanifurahisha kwa jibu kuwa yeye anajisikia kuwa Rais wa Zimbabwe on the basis ambazo Brown anazitumia kuwa PM UK.