Rachel Dangwa ni supu ya nguru

Ni vile kalipokuwa DUCE kalikuwa kadogo sana kwangu ila bila hivyo kangekuwa kamke kangu haka kana sura nzuri sana sema ndiyo vile mshale ulifyatuka toka enzi za wahuni wa wailesi walipokaonesha njia .
Hahahaha.. Vinakuwaga😋😋😋 sana sijui kwanini🤣
 
Ana info nyingi anazopezewa na watu wa intels.. pomoja na matusi yake yuko vzr maana hayo matusi ndio lugha wanayotakiwa kuisikia watawala yichwa maji km yule Kahaba wa Kizimkazi..
R.i.p mdude nyagali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…