Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Nataka shari ni kamdada hivi kauswahilin maisha yamekapiga sana. Kanajulikana na picha zake zipo kwa who is the boss,kalishaumbuka simu nyingi ila kichwa ngumu tu. Hewalaa huyu malkia nae anajikuta jaman eti muarabu wa tanga,wanatukana watu ili wapate pesa za matangazo,na usipojipanga nae IPO day yake
Huyu zari my choice,namtembelele,pia alikuwepo zaris soldier(huyu alikoseaga akamchamba mtoto wa rafiki yake zari wa south,kuanzia hapo sijui walimtoa uteam maana kapotea)
umemsahau malkia wa kuchambwa

nataka shari

kimbwimbwi
zari is my choice
 
Asante best. Hahahah maskini sijui saiv ana hali gani sio kwa kuaibika huko
Kumbe ndo yeye aliekua anajipigia promo ya ndoa Mara mahari na full kujiita bibi harusi mtarajiwa
Mmh kuna sehemu umetaja uliweka picha yako kwa bahat mbaya,umeniogopeshaa maana haka ka mchezo ka kutupia picha humu kangeniumbua Siku moja na mie
 
wengi mno wanatukana ili waongeze followers wapate pesa za kuishi mjini hapa
yule malkia wa kuchamba analipwa yule na lulu ili amtukane hamissaa sasa hv ana group la kufundisha limbwata [emoji3] [emoji3] yaani hawa wadada na wakaka wa mjini hapa wengi akili hawana

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] shoga nshaumbuka humu@Bony alinishtua wasap fasta nkaremove weee usiombe kukutwa ilikaa kama nusu saa hv...!!!ni kua makini tu usikutwe
 
Umeumbuka mkaka kama recho vile,ulikurupuka ili uje umquote ngabu afahamu uwepo wako aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa sitaki Ku comment ila ngoja nicomment tu
" Huu Uzi kama unakojoa ukiwa umechuchumaa uta subscribe".

Sent from my az using JamiiForums mobile app
 
Na anavyomsifia sasa,kila Saa lulu

Umenikumbusha lile gauni la pink alilovaa lulu juzi juzi full kujiedit wajanja wakaipata picha yake orijino,kumbe tumbo huwa anabana kwa crochet, chini anajaladia ili aonekane mnene. Picha halisi kabla ya editing IPO kwa katibu wa wambea
Ila team wema wanachekeshaga,zari akitupia picha wao wa kwanza kuzidaka na kuzianika kwao wanamsahau kwa muda boss wao wema
 
Edit hapo,nadhan ulitaka kusema ukiwa umesimama

Nilikuwa sitaki Ku comment ila ngoja nicomment tu
" Huu Uzi kama unakojoa ukiwa umechuchumaa uta subscribe".

Sent from my az using JamiiForums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] boss wake yule mbona anamsaidia kumroga majay...
lulu wa kawaida sio mzuri wa vile zile picha zinaeditiwa haswaa...

team wema akili hawana hata kidogo..badala wapromoti application yake wao kazi matusi

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…