swadaktaaa na kujifanya mtakatifuuuNikisema hajifichi nadhani nipo clear.
Hajifichi nikimaanisha yeye anatukana na anajulikana katukana na mtukanaji ni yeye. Tofauti na Recho anatumia account fake isiyomtambulisha mtukanaji ni yeye.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Limemshuka shuuu..swadaktaaa na kujifanya mtakatifuuu
alivyoumbuka toka jana hajapost chochote kwenye akaunt yake.
Wanakuja kila Saa kusoma page zimeongezeka au laah.Ukiangalia views wengi kweli(wakaka na wababa hao) ila comment chache halafu za kusimanga wakat wamefaid vya kutosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Ukiangalia views wengi kweli(wakaka na wababa hao) ila comment chache halafu za kusimanga wakat wamefaid vya kutosha
Celebrity mwanasheriaAlbert msando ndio nan
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Lawyer wangu huyo kaka.Hahhhhàhaha
[emoji3] safiiUyo alojificha kafichuliwa [emoji23][emoji23][emoji23] sahizi hana hata hamu na mitandao alikua akipost kila saa mpaka kwenye page yake ya kweli nayo kaikimbia
Hahahaaa mkuu unapenda ubuyu eeeh.Naliamsha Dudeeeeeee,Hii Thread inabidi iwe inaamshwa kila mda isipotee kwa mwezi huu.
Hahahaaaa hapana tunataka a-pay the price ya kuwatukana watu,na yeye mwezi huu wote huu aumbuke.Hahahaaa mkuu unapenda ubuyu eeeh.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app