Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Ok ok mkuuHuwa nawahudumia ofisin kwangu
California love
Niliendaga resty park kule oasis mbezi akanikaribisha vizuri, tukapiga soga, basi from there tukawa marafiki ( nikawa mteja wake)[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Unampenda resty kwa sababu gani?
Heee[emoji15][emoji15]Rachel Anderson Temu...........Nilikutana nae Marekani miaka ya 2000's,! my classmet shule ya msingi, nimemmiss sana
Dah, unaona Marekani dili sana, wengine tuna familia huko tunaenda na kurudi kila siku. Karibu Bia!Marekani ya Matejoo na Unga Limited?
Hivi alisomaga Uhuru ama Themi? Nakumbuka hoyce alisoma Arusha secRachel Anderson Temu...........Nilikutana nae Marekani miaka ya 2000's,! my classmet shule ya msingi, nimemmiss sana
Uzuri bila akili kichwani ziumiazo ni sehemu za siriLakini Rachel mzuri mwenyewe na anajua kupika mwenyewe.
Sema ukimtafuta lazima umpate
Weka picha yake kwanza tuideku. Wengine huko mjini insta hatuna vibali vya kuingia.Huyo rachel n HIV+, Kwahiyo asipomeza dawa huwa akili inavurugika, ndo huanza kutoa maneno ya hovyo.
Heeeh huna acc IG kwa kipi? Mbna unakosa mengi lolWeka picha yake kwanza tuideku. Wengine huko mjini insta hatuna vibali vya kuingia.
-ve perception tu. Ujue insta wakati inaanza ilikuwa huwezi post bila picha. Sasa mm na maphoto photo vitu viwili tofauti. Halafu naiona iko too feminine... Ni mtazamo tuuHeeeh huna acc IG kwa kipi? Mbna unakosa mengi lol
Mi nampenda Resty sana chibonge..
Sijui kwanini Racheal anamhate hivoo[emoji1783]
Ujue wengi wetu tunapenda kuwa judge watu kwa mambo yao ya nyuma.Niliendaga resty park kule oasis mbezi akanikaribisha vizuri, tukapiga soga, basi from there tukawa marafiki ( nikawa mteja wake)
She's nice kwakweli, hana shida kabisa
Wekeni hata picha basi.Lakini Rachel mzuri mwenyewe na anajua kupika mwenyewe.
Sema ukimtafuta lazima umpate
Ukweli mchunguTanzania kila mgonjwa wa akili ana followers Instagram..
Na mimi nilikutana naye ubelgiji maana hizi kiki zimezidi sasa mbona hakusema wamekutana naye moshi au kishumundu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi nlikutana nae Uingeleza miaka ya 80.
Kila mtu aeleze uongo wake.