Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Ungeweka na disclaimer basi kuwa hukulala hapo na Nyani Ngabu maana usije kuzua gumzo bure!

Eti Nyani Ngabu kalala na Ms Natafuta kwenye hoteli ya elfu 69 kwa siku
Kwani nimesema nililala? Hiv ngabu ulipata wapi nauli ya kurudi kubeba box?
 
Hahaaaaa halafu nimekumbuka kitu!

Hebu linganisha milioni 22 na elfu 69 kwa siku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilichokiona ni vita binafsi kwa hiyo hotel anazozi promote ndio zinalipa na kutreat poa wabongo
 
Ok, is it worth all that money, though?

What do you get to leave with when checking out? A diamond necklace and some Balenciaga kicks?

But like I said, to each his own. I can’t knock Hyatt for that.
Bwana andika kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…