Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #201
Huyo ndo ngabu bna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Walilala. Ila sio hotel mbona huelewi RRONDOInaonesha ni zaidi ya kulala.
Mapenzi kama kikohozi hata ukificha utakohoa tuWewe bna sikuezi .sijalala hotelini labda nilale na wewe cause I love u more
Achana nae mpenziHeeee nashangaa tu mtu kaanza kunitukana
Kanifuata kwenye thread nyingine
Kweli jf kuna watu wana stress!
Hahahaaa.Huyo ndo ngabu bna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi kama kikohozi hata ukificha utakohoa tu
Sio kwa bata ulilokula aisee kama chenji ilibaki kweli wewe mzee ni rich nigga .hakunaga mfano
Nimeshaachana naeAchana nae mpenzi
Siku nyingine niiteni kwenye bata lenu basiiHuyo ndo ngabu bna
Ahahaaa Leo umeamka vibayaMapenzi kama kikohozi hata ukificha utakohoa tu
Wengine wanakuja huku kutoa stress wengine wanakuja huku kujitafutia stress. TafraniNimeshaachana nae
Hio 22m mngelala pale mlipolala kwa 69k per night mwaka mzima kasoro mwezi(siku 318)Huyo ndo ngabu bna
Sipendi mambo makubwa bna juice natengeneza mwenyewe homeHeheeee..
Ila na wewe punguza ushamba!
We hata kwenda Hyatt kunywa juisi ya karakara unaogopa!
Sijawai kulala mahali kweli am virginWalilala. Ila sio hotel mbona huelewi RRONDO
Hio 22m mngelala pale mlipolala kwa 69k per night mwaka mzima kasoro mwezi(siku 328)
Cc Nyani Ngabu
Bwana nilikwambia ukiniita hivyo naona aibu. Ile video kuna mtu aliniambia nimejishaua kama Kim K [emoji2][emoji2][emoji2]Hottest chick in da game....
What’s up babes???
Na wangekunywa Heineken ngapi?Hio 22m mngelala pale mlipolala kwa 69k per night mwaka mzima kasoro mwezi(siku 328)
Cc Nyani Ngabu
Bikra? Ya wapi?Sijawai kulala mahali kweli am virgin
Siku nyingine niiteni kwenye bata lenu basii