Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Sasa kama usiku mmoja watu wanaalikwa kulipa 22m, hao JPM anaosema atalala nao mbele ni akina nani!?
Maana hizo 22m inatosha kununua kiwanja na kuweka mjengo kwa hao wanyonge wanaotetewa! Jamani jamani!
 
Ok, is it worth all that money, though?

What do you get to leave with when checking out? A diamond necklace and some Balenciaga kicks?

But like I said, to each his own. I can’t knock Hyatt for that.
Ha ha ha nothing....may be an invoice.
 
Bora pale kwa 69 kwa siku. Japo palinishinda siwezi lala masaa kadhaa mahali elf 69

Ungeweka na disclaimer basi kuwa hukulala hapo na Nyani Ngabu maana usije kuzua gumzo bure!

Eti Nyani Ngabu kalala na Ms Natafuta kwenye hoteli ya elfu 69 kwa siku
 
Sasa kama usiku mmoja watu wanaalikwa kulipa 22m, hao JPM anaosema atalala nao mbele ni akina nani!?
Maana hizo 22m inatosha kununua kiwanja na kuweka mjengo kwa hao wanyonge wanaotetewa! Jamani jamani!
Labda wale wanaotengeneza 7m per minute
 
Najua unajaribu kuniprovoke nikutakane
Ain't that kind of person you think I am.

Njia hiyoooo tukana ukimaliza pita hivi.
Ngoja nikupe faiza usipende kuongea vitu bila logic.

Toka lini treni ikawa na mbele na nyuma?

Ficha ujinga

Funga papuchi yako
 
Kwahiyo double tree wanalipa vzr wazawa zaidi ya hyatt?!

Hii ni promo tu labda kaahidiwa commision akipeleka wateja huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…