Tetesi: Rachid Taoussi kuwa kocha mpya wa Azam FC

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Hizi mpya kabisa, possibly amna mtu karipoti tanzania hii : utaona chawa wana ripoti after this post ,

I will be short :

kocha mpya huyo from Morocco anakuja na benchi lake lote la ufundi.

Rachid Taoussi has managed several clubs throughout his career. Here is a list of the clubs he has managed:

1. Union Sidi Kacem (1992–1993)
2. Morocco U17 (1993–1995)
3. Morocco U20 (1995–1997)
4. Morocco U23 (1997–1999)
5. FAR Rabat (1999–2000, 2012–2013, 2013–2014)
6. Wydad Casablanca (2003)
7. KAC Kenitra (2003–2004)
8. Al Shabab Al Arabi Club (Technical Director, 2004–2007)
9. FUS Rabat (2007–2008)
10. Al Ain FC (Sporting Director, 2008–2010)
11. MAS Fez (2010–2012, 2014–2015)
12. Morocco National Team (2012–2013)
13. Raja Casablanca (2015–2016, 2022)
14. RS Berkane (2016–2017)
15. CR Belouizdad (2017–2018)
16. ES Sétif (2018–2019)
17. Olympique de Khouribga (2019–2020)

Taoussi has had a diverse and extensive career, managing both club and national teams¹².

Soma Pia: RASMI: Kocha wa Azam FC, Youssouph Dabo avunjiwa mkataba

Huyu ndo mwalimu wa manager wa morocco regragui.


Very experienced manager

Hizi za ndani hata hashim ajui. hizi bosi kanitonya directly amna reporter anajua.

He will arrive in tanzania soon
 
Kocha mzee wa kazi gani!?..mtu kaanza kufundisha 1992!!
 
Azam hainaga shida na makocha bali mfumo wa uendeshaji timu

Timu wanaendesha kama sehemu kwenda kustarehe, kunywa kahawa na kucheza zumna

Azam fc wameifanya kama kitu cha nyongeza, haina njaa ya mafanikio yani haina cha kupoteza

Wachezaji na makocha na watendaji wanaenda kuvuna pesa

Pesa ya kuendesha Azam fc inatoka mfuko huu inaingia mfuko ule... Azam fc ifanyiwe ukarabati kuanzia ndani kabisa

Hii timu boss akicheka mkataba mpaka 2080, ukimpiga mtu dalizi tobo bosi kafurahi basi utakula mkataba wa maisha

Timu haina njaa... timu haina Njia ya kuelekea ktk mafanikio yani bora liende
 
Hamna kocha hapo. Kocha anaitwa RASHIDI. Majina ya vinyozi
 
Huyo ni bomu kuliko hata Matola
 
Hajui......sio Ajui.....hamna sio Amna
 
Azam aje hata Gadiola hakutakuwa na jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…