Racially hate terrorism in US (Ugaidi wa Kibaguzi Marekani)

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika!

Kuweni makini mkiwa huko Marekani. Tanzania inatakiwa ku rise threat alert to Level 5 kwa raia wake wanaoelekea Marekani. Na balozi wetu huko ahakikishe yupo in touch na watanzania wanaoenda na walioko huko.

====
15 May, 2022 03:39
HomeWorld News

Supermarket massacre probed as hate crime​

Teenage suspect pleads not guilty after mass shooting livestreamed on Twitch
Supermarket massacre probed as hate crime

Payton Gendron appears during his arraignment in Buffalo City Court, May 14, 2022 © Mark Mulville / The Buffalo News via AP

An 18-year-old suspect was detained without bail on first-degree murder charges following a mass shooting at a supermarket in New York state, that authorities described as a “hate crime” and “racially motivated violent extremism.”

The heavily-armed shooter wearing a bulletproof vest and a tactical helmet first opened fire at a parking lot and then inside a Tops Friendly Market in Buffalo around 2:30pm on Saturday, killing 10 shoppers and employees, and injuring three others – all while livestreaming the massacre online.

When police arrived at the scene and confronted the gunman, he reportedly put the rifle to his neck, but was eventually persuaded to drop the weapon and surrender.

Authorities said 11 of those he shot were black and two were white, with Erie County Sheriff John Garcia describing the attack as “pure evil” and a “straight up racially motivated hate crime from somebody outside of our community.”

Chanzo:rt.com
 
... Marekani ya siku hizi imetulia sana. Miaka ya nyuma huko, karne za 18, 19, na 20 ubaguzi ulitamalaki sana hata kabla ugaidi tunaoujua kwa maana halisi ya neno hilo haujaingia rasmi. Kufikia total social stability kwa jamii yenye mchanganyiko mkubwa kama Marekani will take some time.
 
Mkuu Marekani na hata Ulaya wamefanya na wanaendelea kufanya juhudi kubwa sana kupigana na ubaguzi wa rangi. Nimeishi nchi zenye kusemwa zina ubaguzi kama Ujerumani lakini nimegundua kuwa japo upo lakini serikali na population kubwa kwa ujumla wanapinga sana aina yoyote ya ubaguzi.

Nilikuwa naongeoa na rafiki yangu namwambia kuwa ukiwa Tanzania unaweza kubaguliwa kweli kweli kwa sababu tu ya msimamo wako wa kisiasa na hata kuuawa na serikali isichukue hatua yoyote au hata ikafurahia.

Kwa ufupi nchi kama yetu kuna ubaguzi mkubwa zaidi kuliko hata kwa wazungu. Huku kwetu tumefikia hatua ya mtu kuanzisha thread kuzungumzia mambo ya kibaguzi kabisa kuhusu kabila fulani na kila mtu anaona ni kawaida tu lakini Ulaya anzisha mazungumzo ya kibaguzi kwenye public forum uone kama utavumiliwa kama huku kwetu.
 
Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika!

Kuweni makini mkiwa huko Marekani. Tanzania inatakiwa ku rise threat alert to Level 5 kwa raia wake wanaoelekea Marekani. Na balozi wetu huko ahakikishe yupo in touch na watanzania wanaoenda na walioko huko.

====
15 May, 2022 03:39
HomeWorld News

Supermarket massacre probed as hate crime​

Teenage suspect pleads not guilty after mass shooting livestreamed on Twitch
Supermarket massacre probed as hate crime

Payton Gendron appears during his arraignment in Buffalo City Court, May 14, 2022 [emoji2398] Mark Mulville / The Buffalo News via AP
An 18-year-old suspect was detained without bail on first-degree murder charges following a mass shooting at a supermarket in New York state, that authorities described as a “hate crime” and “racially motivated violent extremism.”
The heavily-armed shooter wearing a bulletproof vest and a tactical helmet first opened fire at a parking lot and then inside a Tops Friendly Market in Buffalo around 2:30pm on Saturday, killing 10 shoppers and employees, and injuring three others – all while livestreaming the massacre online.
When police arrived at the scene and confronted the gunman, he reportedly put the rifle to his neck, but was eventually persuaded to drop the weapon and surrender.
Authorities said 11 of those he shot were black and two were white, with Erie County Sheriff John Garcia describing the attack as “pure evil” and a “straight up racially motivated hate crime from somebody outside of our community.”
Chanzo:rt.com
Binafsi naona kuishi marekani kwa mtu mweusi ni hatari sana.
 
Mkuu Marekani na hata Ulaya wamefanya na wanaendelea kufanya juhudi kubwa sana kupigana na ubaguzi wa rangi. Nimeishi nchi zenye kusemwa zina ubaguzi kama Ujerumani lakini nimegundua kuwa japo upo lakini serikali na population kubwa kwa ujumla wanapinga sana aina yoyote ya ubaguzi. Nilikuwa naongeoa na rafiki yangu namwambia kuwa ukiwa Tanzania unaweza kubaguliwa kweli kweli kwa sababu tu ya msimamo wako wa kisiasa na hata kuuawa na serikali isichukue hatua yoyote au hata ikafurahia. Kwa ufupi nchi kama yetu kuna ubaguzi mkubwa zaidi kuliko hata kwa wazungu. Huku kwetu tumefikia hatua ya mtu kuanzisha thread kuzungumzia mambo ya kibaguzi kabisa kuhusu kabila fulani na kila mtu anaona ni kawaida tu lakini Ulaya anzisha mazungumzo ya kibaguzi kwenye public forum uone kama utavumiliwa kama huku kwetu.
... umefafabua vizuri sana Chief. Asiyeelewa ana lake jambo.
 
Umeandika maneno ya maana sana

Humu ndani mtu anaweza kuwatukana Chadema kwa kuwaita chama cha wachaga na akafurahiwa kwel na wamiliki mtandao wakamuangalia tu

Au mwingine akawaita wenzie Sukuma gang na akasifiwa kwel kwel na trophy akapata aiseee.
 
Mkuu Marekani na hata Ulaya wamefanya na wanaendelea kufanya juhudi kubwa sana kupigana na ubaguzi wa rangi. Nimeishi nchi zenye kusemwa zina ubaguzi kama Ujerumani lakini nimegundua kuwa japo upo lakini serikali na population kubwa kwa ujumla wanapinga sana aina yoyote ya ubaguzi. Nilikuwa naongeoa na rafiki yangu namwambia kuwa ukiwa Tanzania unaweza kubaguliwa kweli kweli kwa sababu tu ya msimamo wako wa kisiasa na hata kuuawa na serikali isichukue hatua yoyote au hata ikafurahia. Kwa ufupi nchi kama yetu kuna ubaguzi mkubwa zaidi kuliko hata kwa wazungu. Huku kwetu tumefikia hatua ya mtu kuanzisha thread kuzungumzia mambo ya kibaguzi kabisa kuhusu kabila fulani na kila mtu anaona ni kawaida tu lakini Ulaya anzisha mazungumzo ya kibaguzi kwenye public forum uone kama utavumiliwa kama huku kwetu.
Maana sahihi ya Nyani haoni kundule. Hakuna watu wabaguzi ulimwenguni kama waafrika.
 
Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika!

Kuweni makini mkiwa huko Marekani. Tanzania inatakiwa ku rise threat alert to Level 5 kwa raia wake wanaoelekea Marekani. Na balozi wetu huko ahakikishe yupo in touch na watanzania wanaoenda na walioko huko.

====
15 May, 2022 03:39
HomeWorld News

Supermarket massacre probed as hate crime​

Teenage suspect pleads not guilty after mass shooting livestreamed on Twitch
Supermarket massacre probed as hate crime

Payton Gendron appears during his arraignment in Buffalo City Court, May 14, 2022 © Mark Mulville / The Buffalo News via AP
An 18-year-old suspect was detained without bail on first-degree murder charges following a mass shooting at a supermarket in New York state, that authorities described as a “hate crime” and “racially motivated violent extremism.”
The heavily-armed shooter wearing a bulletproof vest and a tactical helmet first opened fire at a parking lot and then inside a Tops Friendly Market in Buffalo around 2:30pm on Saturday, killing 10 shoppers and employees, and injuring three others – all while livestreaming the massacre online.
When police arrived at the scene and confronted the gunman, he reportedly put the rifle to his neck, but was eventually persuaded to drop the weapon and surrender.
Authorities said 11 of those he shot were black and two were white, with Erie County Sheriff John Garcia describing the attack as “pure evil” and a “straight up racially motivated hate crime from somebody outside of our community.”
Chanzo:rt.com
1652619306292.png

Notice the word "Nigger" on his rifle
 
14/88 or fourteen-words are white supremacy terror organization’s slogans originating with David Eden Lane,He was an American domestic terrorist, white separatist, neo-Nazi, and convicted felon.
“We must secure the existence of our people and a future for white people”. the statement reportedly reads.

IMG_6996.jpg

IMG_6995.jpg
 
Back
Top Bottom