God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Radar na satelite zinafanyaje kazi zake?
Tumezisikia zikitumika kwenye vita na mfumo mziwa wa habari.
Kazi yake hasa kubwa ya satelite ni kufanya mawasiliano na kupiga picha sehemu mbalimbali za dunia hatimaye kuzituma kwenye computer inayokua under the control of man.
Hizi radar kazi yake ni kupokea mawimbi (radio waves) mfano kitu kikipita angani hizi radar zina detect, pia baharini, na nchi kavu.
Nashindwa kutofautisha minara ya simu na radar maana naona kazi ni ile ile tuu ya kufikisha mawasiliano sehemu mbali mbali ili yale madishi tuliyozoea kuyaita au antena iwe rahisi kuyapokea.
Wakuu wenye uelewa na haya mambo naomba tusaidie kuya break down tupate elimu wa hii teknolojia.
Natanguliza shukrani.