Radi iliyo ua wachezaji wote 11wa timu Pinzani huko Congo

Radi iliyo ua wachezaji wote 11wa timu Pinzani huko Congo

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Ilikuwa mwaka1998 mechi ya kirafiki kati ya Bena Tshadi na Basang kutoka kasai m
mechi ilianza kawaida tu Mpaka pale mvua ilipoanza kunyesha,timu ya basang ilitoka nje ya uwanja kufuatia mvua hiyo, dakika kadhaa baadaye radi iliwashukia hao wachezaji wa Bena tshadi wakiwa katika ya uwanja, (wengi huamini kuwa tukio hilo ni la kiuchawi , kwa kuwa kulikuwa na kutoelewana kati ya maeneo wachezaji walipotokea)
1553063985892.png
 
Huenda radi ilifuata rangi ya jezi walizovaa hao wachezaji,
Nawaza tu!
 
Back
Top Bottom