Radi iliyo ua wachezaji wote 11wa timu Pinzani huko Congo

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Ilikuwa mwaka1998 mechi ya kirafiki kati ya Bena Tshadi na Basang kutoka kasai m
mechi ilianza kawaida tu Mpaka pale mvua ilipoanza kunyesha,timu ya basang ilitoka nje ya uwanja kufuatia mvua hiyo, dakika kadhaa baadaye radi iliwashukia hao wachezaji wa Bena tshadi wakiwa katika ya uwanja, (wengi huamini kuwa tukio hilo ni la kiuchawi , kwa kuwa kulikuwa na kutoelewana kati ya maeneo wachezaji walipotokea)
 
Huenda radi ilifuata rangi ya jezi walizovaa hao wachezaji,
Nawaza tu!
 
Radi hudeal na kitu kirefu on area! Sasa hao waliojibakiza uwanjani walitkiwa kuwa wafupi kuliko nyasi ili wapone!

R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…