Radi kali Mbeya

Poleni Kwa radi Mkuu

Ila ni vyema Mkaendelea kukaa ndani wakati mkisubiri radi ipite.

Vile vile hakikisheni mnazima vifaa vyote vya Umeme kama TV,Radio, Taa n.k

Kama radi limetokea ukiwa barabarani, tafuta nyumba ya jirani ukajibanze humo.

Epukeni kukaa karibu na miti mirefu

Radi inaua, Chukueni tahadhari
 
Poleni na msiba, atazikwa kwake au mnasafirisha kwao?
 
Jirani zenu Sumbawanga wanasemaje
 
Mnyama aliyeuliwa kwa radi ni dili sana. Wapumbavu wameishaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…