Radi yaua watoto 10 huko Arua na kujeruhi wengine watatu

Radi yaua watoto 10 huko Arua na kujeruhi wengine watatu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Watoto 10 wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika Mji wa Arua. Eneo hilo limekuwa na mvua kubwa ambazo zimeambatana na radi

Imeelezwa watoto hao walikuwa wakicheza mpira na waliamua kujikinga na mvua kwenye nyumba ya nyasi illiyokuwa karibu ambapo radi ilipiga

Watoto tisa wenye umri kati ya miaka 13-15 walifariki papo hapo na mmoja alipoteza maisha akiwa njiani kuelekea Hospitali

Ajali hiyo imetajwa kuwa mbaya zaidi kutokea tangu mwaka 2011.Watoto watatu walionusurika wanapatiwa matibabu Hospitali ya Mkoa

===

Lightning has stuck and killed 10 children in Uganda's north-western city of Arua.

The region has been experiencing severe rains coupled with thunder and lightning.

A heavy downpour on Thursday prompted the children to take a break from their football game and take shelter under a nearby grass-thatched structure.

The makeshift building was struck by lightning. Nine children, between the ages of 13 and 15, died on the spot, and another died on the way to hospital.

Three survivors are receiving treatment at the regional hospital.

It’s the worst accident of its kind in Uganda since 2011.

Then, 18 children were killed at a school in the mid-western region. In total, 28 people died from lightning strikes in a single week, that year.

BBC
 
Radi hiyo hivi haiwezi kuja huju Malawi ikampiga mgombea mmoja wa urais na mgombea mwenza wake tumalize mchezo?
 
Back
Top Bottom