S Salvio Mwenda Member Joined Jun 7, 2010 Posts 19 Reaction score 4 Aug 1, 2011 #1 Am here to announce hao wachina na wajapani mtaani wanaosema eti wanatibu kwa mionzi ni uongo eti wananyonya sumu ni wizi mtupu nasijui nani kawapa vibali maana hivyo vifaa vinge thibitishwa na WHO vingepatikana mahospital. Tiba pekee ni hospital
Am here to announce hao wachina na wajapani mtaani wanaosema eti wanatibu kwa mionzi ni uongo eti wananyonya sumu ni wizi mtupu nasijui nani kawapa vibali maana hivyo vifaa vinge thibitishwa na WHO vingepatikana mahospital. Tiba pekee ni hospital