Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radiator fan inazunguka polepole,haina ile speed yake ya kawaida. Shida ipo wapi? Gari yangu Nissan Note, ila gari halichemshi, naombeni msaada.
Jitula miraba minne. Msaada mkuu
Pump ya engine huwa inazunguka muda wote. Kinachoruhusu maji yazunguke au yasizunguke ni Thermostat.
Sure. Hapo nilizungumzia kwa baadhi ya magari, especially pump za umeme, achana na izo za mechanical.Pump ya engine huwa inazunguka muda wote. Kinachoruhusu maji yazunguke au yasizunguke ni Thermostat.
Wakati maji hayazunguki na huku water pump inatembea kama ulivyosema, NINI KINAFANYA PRESSURE ISIPASUE PIPE ZA MAJI!?Pump ya engine huwa inazunguka muda wote. Kinachoruhusu maji yazunguke au yasizunguke ni Thermostat.
Wakati maji hayazunguki na huku water pump inatembea kama ulivyosema, NINI KINAFANYA PRESSURE ISIPASUE PIPE ZA MAJI!?
Huwezi weka breather kwa ya kupitusha maji wakati umeyaziba kwa maamuzi. As far as I know, breather ipo kudeal na abnormal situations, si za kupangaPump huwa inakuwa na Tundu dogo. Tunaliita Breather.
Huwezi weka breather kwa ya kupitusha maji wakati umeyaziba kwa maamuzi. As far as I know, breather ipo kudeal na abnormal situations, si za kupanga
By the way, isije ikawa tunachanganya na breather ya kwenye oil systemSasa breather ina kazi gani?
Kwa sababu pump inazungushwa muda wote na belt.
So pumping inafanyika muda wote.
Huwezi weka breather kwa ya kupitusha maji wakati umeyaziba kwa maamuzi. As far as I know, breather ipo kudeal na abnormal situations, si za kupanga
Pump ya engine huwa inazunguka muda wote. Kinachoruhusu maji yazunguke au yasizunguke ni Thermostat.
Mtaalamu, nime-quote hii kujaribu kuweka wazo langu kwenye swali lako la msingi kule juu.Huwezi weka breather kwa ya kupitusha maji wakati umeyaziba kwa maamuzi. As far as I know, breather ipo kudeal na abnormal situations, si za kupanga
Huyo ni fundi maiko ILA sema nini, achana na uandishi huo basi kwenye mada za jukwaa hili.Nimejifunza.. gari yangu inachemsha ila tangu ninunuue haijawH ndo juz nikaambiwa na jamaa tazama kuna moshi kucheki pipe mbili xa kutoka kwenye radiator kwenda kwenye injini ni za moto kweli ikabd nipunguze spid .... moshi hautoki kwenye radiator ila pipe zimechemka ... nashauriwa kutoa thermostat imekaaje mkuuuu?
Nimejifunza.. gari yangu inachemsha ila tangu ninunuue haijawH ndo juz nikaambiwa na jamaa tazama kuna moshi kucheki pipe mbili xa kutoka kwenye radiator kwenda kwenye injini ni za moto kweli ikabd nipunguze spid .... moshi hautoki kwenye radiator ila pipe zimechemka ... nashauriwa kutoa thermostat imekaaje mkuuuu?
Thermostat kama mbovu unabadilishwa na kutolewa.
Muulize huyo fundi gari siku zingine zote ilikuwa inatembeaje?