MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 283
- 384
Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba.
ii/Kununua Radiator mpya na kuifunga.
Niko Mwanza , natumain mafundi wazur mpo humu nitapata ushauri uliotukuka.
ii/Kununua Radiator mpya na kuifunga.
Niko Mwanza , natumain mafundi wazur mpo humu nitapata ushauri uliotukuka.