mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Nasikiliza kipindi cha Afrika Ngoma kutoka Radio 5 FM nikaweza kurekodi sehemu ya interview kati ya mtangazaji wa kituo hicho na Meja wa JWTZ, Meja Joseph Massawe. Kinacho onekana ni kuwa Naseeb Abdul amevunja sheria za nchi kwa maana hiyo tusubiri Jeshi kutekeleza adhabu juu ya sheria iliyovunjwa.
Msikilize Meja Joseph Massawe akiongelea juu ya issue hiyo.
Msikilize Meja Joseph Massawe akiongelea juu ya issue hiyo.