mohamedidrisa789 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 5,258 Reaction score 22,552 Nov 1, 2023 #1 Pata radio call kwa matumizi ya usalama na shambani. Mpya kabisa hazijatumika zipo 4. Bei Tsh 250, 000 kwa zote, maongezi yako. Zipo Dar 0652868486
Pata radio call kwa matumizi ya usalama na shambani. Mpya kabisa hazijatumika zipo 4. Bei Tsh 250, 000 kwa zote, maongezi yako. Zipo Dar 0652868486
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,106 Reaction score 6,678 Oct 2, 2024 #2 Ulipata mteja
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Oct 3, 2024 #3 Walk Talker Inafaa Sana
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 Oct 3, 2024 #4 Israel anilipue nazo?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Oct 3, 2024 #5 Hizo huwa tunazitumia kwenye kufanya geological survery tulikuwa tunashida nazo ila kwa sasa bado hatuna hela maybe nishauriane na watu wangu kama utakuwa bado hujaziuza
Hizo huwa tunazitumia kwenye kufanya geological survery tulikuwa tunashida nazo ila kwa sasa bado hatuna hela maybe nishauriane na watu wangu kama utakuwa bado hujaziuza
F flank JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 325 Reaction score 538 Oct 3, 2024 #6 Ngoja niwafuate wateja