Hapo sina ujanja mie nikipata porojo za Somboko na wadau wengine nalala murua kabisa!!kitendo cha nyie kuwa na ratiba ya vipindi muhimu usiku mnatulaza macho!!!!
jumapili mtangazaji alisema mnapitia mawazo ya wana jf,
naomba msome mawazo yangu hapa,
jumanne kipindi cha uliza ujibiwe
jumatano dk wa mapenzi
alihamis za kale ni dhahabu.naomba mpange vipindi vyenu mapema kidogo,mnatulaza macho!!!!!!!!!
lakini hongereni sana!!!!!!!
Hapo sina ujanja mie nikipata porojo za Somboko na wadau wengine nalala murua kabisa!!
alihamis za kale ni dhahabu.
Unamaanisha kipindi cha Salamu za Milenia cha Wambura Mtani?
Ila hawa jamaa ni kiboko, unaweza kushtuka usiku na wasikilizaji wanapiga simu za salamu saa tisa usiku!
Unamaanisha kipindi cha Salamu za Milenia cha Wambura Mtani?