Radio IMAAN - Maoni ya Katiba

Kuna tv moja ya kiislam inaitwa peace tv huwa napenda sana kuiangalia, aisee ukiwasikiliza wale jamaa wanavyouelezea uislam mpaka utatamani........ Masheikh wanaexplain misingi ya uislam mpaka unajisikia raha........ Dini ya amani, haki na upendo and submission, mpaka huwa najiuliza sasa kwa nini wakristu na waislam tupigane au tulumbane?? Lakini to be honest, nikifungulia radio imaan huwa nashangaa sana ninayoyasikia, ni tofauti kabisa na ile misingi ya dini ya kiislam ninayoisikia ikielezwa peace tv............
Anyways, Mungu atusaidie sana tusiingie kwenye mapigano ya kidini katika nchi yetu hii,kwa sababu naamini hakuna vita iliyo nzuri.
 

wakati nchi wenyewe ina udini hii
 
Nakupongeza kuwa miongoni mwa wakristo wachache wanao fuatilia uisilamu kwa ukaribu.. ila nakushauri ulainishe moyo wako usikae kidaku... kaa mkao wa kuelimika na toa critique zenye kujenga sio uchochezi
 
Maoni yangu;Kuwe na Serikali tatu; Tanganyika, Zanzibar na yamuunganoKuwe na mgawanyo sawa wa madaraka kwa kuzingatia dini kubwa za wananchi kwani mgawanyo uliopo unaibua hisia za udiniWanao tumia rasilimali za taifa kwa maslahi yao; wanyongwe hadharani au wapigwe risasiWawekezaji kutoka nje ya nchi; wasichukue zaidi ya 30% ya pato litakalo patikana.Rasilimali inapogundulika mahala fulani nchini, wananchi wa sehemu husika wapewe kipaumbele cha kunufaika na rasilimali husikaSerikali izingatie matakwa ya dini ambayo hayana athari mbaya kwa taifa pasi na kuathiriwa na mtizamo wa dini nyingineMembers;Tutoe maoni tuache chuki!
 
Katiba, ni sheria mama kwa Taifa,

Yanayo stahiki kuwepo katika katiba ni yale yenye maslahi kwa watanzania wote pasi na upendeleo kwa kundi fulani, yanayo zungumzwa katika redio yetu (Radio Iiman; Allah ailinde) mengi kama sio yote ni ukweli mtupu kwani wanazungumza kwa ushahidi na kama kunalolote wanalizungumza kwa chuki au udini kwa uelewa wenu, pigeni simu mseme. Swala la muhimu dini moja isiwe na lengo la kupinga maoni au matakwa ya dini nyingine!
 
MTU AMEAMBIWA ACHANGIE MAONI YA KATIBA MPYA ANAVYOTAKA IWE WEWE UNASEMA ''KWENYE KATIBA MPYA KUSIWE MAHAKAMA YA KADHI & OIC" WEWE UMEELEWA SOMO? UNATAKIWA UCHANGIE NINI KIWE KWENYE KATIBA MPYA SIO NINI KISIWEPO? NYIE SINDIO MDAI MMESOMS ZAIDI YA WENGIE MBONA HAYA HAMUELEWI AU MLIKUWA MNATUMIA vizenga/vibomu shuleni?
 
MTU AMEAMBIWA ACHANGIE MAONI YA KATIBA MPYA ANAVYOTAKA IWE WEWE UNASEMA ''KWENYE KATIBA MPYA KUSIWE MAHAKAMA YA KADHI & OIC" WEWE UMEELEWA SOMO? UNATAKIWA UCHANGIE NINI KIWE KWENYE KATIBA MPYA SIO NINI KISIWEPO? NYIE SINDIO MDAI MMESOMA ZAIDI YA WENGINE MBONA HAYA HAMUELEWI AU MLIKUWA MNATUMIA vizenga/vibomu shuleni?
 
Hapo umenena. ninachowaomba watz 2sipoteze sifa ya taifa le2 kuwa la amani na u2livu. 2dumishe mshikamano, amani na upendo kwa wote. ila suala la wakristo kutaka serikali kutoa ruhusa ya kuchinja hilo kama mm silitaki kabisa.
 
Nimekuwa nikiona saana hoja ya Mahakama ya Kadhi, lakini kimsingi sielewi Mahakama ya kadhi ni nini na inafanya shughuli zipi, na je, itahukumu waislamu na Wakristo ama ni waislamu pekee, na je kuwepo kwa mahakama ya Kadhi ni mwisho wa uweppo wa Mahakama nyinginezo Tanzania? naomba anayeelewa kwa ufasaha anipe japo clarity kidogo kabla sija comment!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…