Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu ya Bukoba imekaaje?

Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu ya Bukoba imekaaje?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake.
Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango.
Je, uhusiano wao upo vipi?
 
Back
Top Bottom