Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake.
Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango.
Je, uhusiano wao upo vipi?