Radio Maria Tanzania tengenezeni vitega uchumi

Sio wafanye biasharbona: Wapate miradi ya kuendesha kituo
Matangazo kama ya kuhimiza kutumia net, kwenda hospitali, matanagzo ambayo yapo kijamii zaidi
Mbona baadhi ya parokia zina miradi pamoja na kwamba waumini tunatoa sadaka,
 
Radio Maria ni redio ya dini 100% ndio maana wanaomba michango na baadhi ya parokia wameweka vibubu kamwe haitafanya biashara
 
Hii dini yetu hasa huko makanisan wameacha kutia mkazo kuhubiri injili badala yake wanasaka hela kwa michango ya kulazimishana.
Ni ukwel usiopingika wezetu Waluteri wamekuwa ni mfano mzuri wa kuigwa..mahubiri mazuri yenye kumjenga mtu kiuchumi ,kiroho, na kimwil na ndio maana wanatoa kwa moyo bila kulazimishana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…