Radio one kulikoni,nusu saa imekuwa masaa?

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
505
Reaction score
69
Wakuu nipo kibandani kwangu nafanya vishughuli vyangu huku nasikiliza karedio kangu.Kama mjuavyo wadau,sisi wazee wa enzi zile huwa tunapenda kusikiliza miziki ya enzi hizo.
Basi ilipotimu saa nne na dakika 10 mtangazaji akaomba radhi hawatakuwepo hewani kwa muda wa nusu saa,lakini hadi sasa ni saa tano na dakika hamsini,kimya.
Radio one mmeanza lini huu uongo,mnakwaza wadau wenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…